TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Muziki wa dansi

The Typologically Different Question Answering Dataset

Muziki wa dansi (au dansi tu) ni muziki kutoka nchini Tanzania. Ulianzishwa katika mji wa Dar es Salaam kunako miaka ya 1930, na unapendeka leo hadi leo hii. 

Asili ya muziki wa dansi ni gani?

  • Ground Truth Answers: Ulianzishwa katika mji wa Dar es Salaam kunako miaka ya 1930Dar es Salaam

  • Prediction:

Muziki wa dansi unatokana na muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (au "rumba ya kikongo") na tokea hapo ikawa inaitwa "rumba ya Tanzania" pia. 

Asili ya muziki wa dansi ni gani?

  • Ground Truth Answers: unatokana na muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (au "rumba ya kikongo") na tokea hapo ikawa inaitwa "rumba ya Tanzania" pia

  • Prediction: